Austere Malivika yuko katika uwanja wa mapambano huko DRC ambapo anatutaarifu hali inayoendelea wakati mapambano yakiendelea baina ya jeshi la DRC FARDC na wapinzani. Hivi leo kundi la waasi wa maimai limechoma kambi ya jeshi ya FARDC lakini mapambao yanaendelea. Originally published at
0
0
Related videos
Preparing
To view the site materials you should be more than or equal to 18 years old