Wimbo wa Namba Hesabu Kuanzia Moja LEARN TO COUNT IN SWAHILI
Hesabu kuanzia moja hadi kumi LEARN TO COUNT TO TEN IN KISWAHILI moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba, nane, tisa, kumi Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili Imba namba Cheza herufi Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili. Angalia Akili and Me TBC1 saa 3 asubuhi j1 j2 pamoja na Ubongo Kids. Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and lea
|